Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilimpa Sampaio kapiga goli Dk 36 huku Bahia akiwa ameshinda 3-0
 
Du yaani nilikurupuka tu toka usingizini nikakuta game ishaanza[emoji38][emoji38]
 

Attachments

  • 1465603727482.jpg
    1465603727482.jpg
    28.6 KB · Views: 32
9fb7a9f6fb81b3b436f45dee99f3bee5.jpg


Hii mechi ilikuwa postponed sas sjui inakuwaje mana ilibaki moja tuuu.....
 
Mbona maelezo yanajitosheleza...kuanzia mechi TATU ukishinda na nyingine ulizochagua bado hazijaanza unaruhusiwa kulipwa..
madevu kafikir kanikomoa kuniachia buku 3 na mia tano.. nacheza hiyohiyo kulalake.. usiku wote huu lakin napata nguvu za kuwasha laptop na mm sio muislam kusema nakula daku wala nn.. hii dawa hii katoa wp sijui.. kulaleki zake

View attachment 355585
bet won
 
Du,thank mess japo uwa akikubali,kwel woga wako umaskin wako wadau Leo kanjubah nmemshika
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sydney utd
Hakoah Sydney
Bonnyrigg white Eagle
All to win, 2+,12.
Za saa tano na saa sita wakuu Australia
 
Baada ya mhindi kuchezea za uso, naona leo system ya meridian inazingua.
 
Back
Top Bottom