Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ENGLAND vs RUSSIA Y odd 2.20
Stake 50000
Return, 112500

Ila huu nitajilipua baada kuona huo hapo juu umetick. Chondechonde Waingereza msijilipue kwa kuwapa ushindi. NIVILAZA WALE. Msilete Mahaba ya ligi yao.
 
Hivi kuweka Avatar nafanyaje? Nataka kuweka na mimi.


Kama unatumia PC ni rahisi zaidi, kwenye kona ya juu kulia mwa window yako utaona jina lako. Click hapo then ikija window ya "Personal Details" utaona sehem ya Avatar.
 
Hawa Sydney Utd hovyo kweli, mi nimewaomba magoli mawili kipindi cha kwanza mmeringa, saiv ndo wanajidai kufungana magoli mengi ... mxiuuuuuuuuuu!

 
Kuna haruf ya hela hapa

[emoji460]️ Linkoping / Vimmerby
[emoji460] Flora II / Levadia II
[emoji460]️ HK Ymir / Leiknir U19's
 
Nimeona 2+ waipa odds nyingi sn (1.5) ... lakn nafkiri itatoa.

poa poa ngoja nitupie 2+ alaf nimuweke na Zimbabwe vs Swaz Y naona ina odd ya 2.4 then nijilipue kwa teni tu.
 
Saturday 11.06.2016
********************
England vs Russia
Tip: 1 (Handcap 1-0)

********************
Wales vs Slovakia
Tip: Over1.5

********************
USA vs Paraguay
Tip: 1 (Handcap 1-0)

********************
Spain - Segunda B Play Offs
Hercules vs C.D. Toledo
Tip 1
********************
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…