Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HIVI HUMU MNAFATAGA MIKEKA INAYOWEKWA KWELI MAANA
JANA
BAHIA
AGENTINA
OVER2.5
LEO
ALBANIA
WALES
UNDER 2.5
KANJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII UTARUDI KWENU TU
Wales kafikisha 3....
 
c103dc798dd135c5638b3ede72fb52fe.jpg

.
#EuroSpecial
England was take kuharbu mapema
 
England was take kuharbu mapema


Mkuu tusaidiane kuminyaaaa ... nami nina kamkeka ka long time. Nlikanyunyizia jero ... hahahaha, who knows!!! Bora tukafie mbele ya safari lkn sio kwa mechi hii ..

upload_2016-6-11_23-32-44.png
 
Mkuu tusaidiane kuminyaaaa ... nami nina kamkeka ka long time. Nlikanyunyizia jero ... hahahaha, who knows!!! Bora tukafie mbele ya safari lkn sio kwa mechi hii ..

View attachment 355844


Daaah yule pweza ni noma ... alitabiri hii game (England vs Russia) itakuwa draw na ndo kinachotokea. England wazee wa media ...
 
  • Thanks
Reactions: pri
Haahahahahahah muda mwingine inabidi nicheke tuu maana hamna namnaa England amechana mikeka ya kutosha.
 
Back
Top Bottom