Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa watatoka mapema maana timu za kundi lao wanajiweza vipi pweza utabiri wke uliupata kwmy media gan


sikumbuki vzr chanzo cha habari, nafkiri ilikuwa moja ya magazeti ya UK. Ngoja nimfuatilie huyu pweza, atakuwa anatupa hela.
 
England walioipa win sijui wameamini nini wakati yeye mechi za ufunguzi huwa anachezea kichapo akijitahidi draw.
 
Wadau mnaonaje hapa? Nataka niongeze na benin win
 

Attachments

  • 1465697824937.jpg
    1465697824937.jpg
    15.9 KB · Views: 29
Ongeza Benin win total odds zinakuwa 4.71
 

Attachments

  • 1465698521891.jpg
    1465698521891.jpg
    20.7 KB · Views: 35
umebet under 2.5 (umejilipua) na game inaanza unaziminya kwel kwel.. dk ya 4 goli la kwanza (unaachia zipumue kidogo) kabla hujaziminya tena goli la pili dk ya 5 (unaona haitoshi kuminya peke yake unapiga na magoti).. unaamua kuzima data kwasababu ya presha imezidi (wazimu unakupanda kidogo unawasha data unaingia google unasearch goli la tatu litafungwa?).. unazima data tena, baada ya masaa mawili unaangalia matokeo unagundua hata under 27.5 bado wangelamba kiboga

View attachment 355864


Hahahah [emoji23][emoji23][emoji23] ... noooma kwl kwl
 
Aisee wadau huyo PWEZA anapatikana vipi wazee??Huenda ikawa Neema kwetu jamani tusaidiane..ni Media gani anarindima??Mana leo pia mechi zipo tena nzuri tu(Euro+Copa)
 
umebet under 2.5 (umejilipua) na game inaanza unaziminya kwel kwel.. dk ya 4 goli la kwanza (unaachia zipumue kidogo) kabla hujaziminya tena goli la pili dk ya 5 (unaona haitoshi kuminya peke yake unapiga na magoti).. unaamua kuzima data kwasababu ya presha imezidi (wazimu unakupanda kidogo unawasha data unaingia google unasearch goli la tatu litafungwa?).. unazima data tena, baada ya masaa mawili unaangalia matokeo unagundua hata under 27.5 bado wangelamba kiboga

View attachment 355864
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..dah pole mkuu..leo tena siku
 
Vipi mkuu,wamesharekebisha hilo Lalamiko lako????
bado kaka yani apa nawapigia kama simu yangu hawaioni vile hawapokei kabisa nimeona niwapotezee mpaka watakapoamua wenyewe maana mpaka saiv matokeo ya argentina wameandika pending..
 
bado kaka yani apa nawapigia kama simu yangu hawaioni vile hawapokei kabisa nimeona niwapotezee mpaka watakapoamua wenyewe maana mpaka saiv matokeo ya argentina wameandika pending..
Itakua wanaendelea kukusanya hela hili wakulipe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom