Kwa nini yanakuchanganya!!!! ???....Hapo suluhisho ni USITUMIE OPERA MIN BROWSER kuGOOGLE MKEKA BET.....tumia Browser nyingine,utaelewa.
Jaribu urudishe Majibu(Feedback).
mkuu kuna application ya mkeka beti? kama ipo inapatikanaje?Mkeka bet wametoa mechi ya England
sidhani kama ipo,ingia kwenye website yao.mkuu kuna application ya mkeka beti? kama ipo inapatikanaje?
Wales kafikisha 3....HIVI HUMU MNAFATAGA MIKEKA INAYOWEKWA KWELI MAANA
JANA
BAHIA
AGENTINA
OVER2.5
LEO
ALBANIA
WALES
UNDER 2.5
KANJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII UTARUDI KWENU TU
England was take kuharbu mapema
.
#EuroSpecial
Warusi wakitulia tunakula hela.Hii mechi ya England, aliyempa Russia anaweza piga pesa hapa
Katupia***** england
England was take kuharbu mapema
Mkuu tusaidiane kuminyaaaa ... nami nina kamkeka ka long time. Nlikanyunyizia jero ... hahahaha, who knows!!! Bora tukafie mbele ya safari lkn sio kwa mechi hii ..
View attachment 355844
bet lostMkuu tusaidiane kuminyaaaa ... nami nina kamkeka ka long time. Nlikanyunyizia jero ... hahahaha, who knows!!! Bora tukafie mbele ya safari lkn sio kwa mechi hii ..
View attachment 355844
England n overratted team yaan hamna kitu km taifa stars
bet lost