Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa watatoka mapema maana timu za kundi lao wanajiweza vipi pweza utabiri wke uliupata kwmy media gan


sikumbuki vzr chanzo cha habari, nafkiri ilikuwa moja ya magazeti ya UK. Ngoja nimfuatilie huyu pweza, atakuwa anatupa hela.
 
England walioipa win sijui wameamini nini wakati yeye mechi za ufunguzi huwa anachezea kichapo akijitahidi draw.
 
Wadau mnaonaje hapa? Nataka niongeze na benin win
 

Attachments

  • 1465697824937.jpg
    15.9 KB · Views: 29
Ongeza Benin win total odds zinakuwa 4.71
 

Attachments

  • 1465698521891.jpg
    20.7 KB · Views: 35


Hahahah [emoji23][emoji23][emoji23] ... noooma kwl kwl
 
Aisee wadau huyo PWEZA anapatikana vipi wazee??Huenda ikawa Neema kwetu jamani tusaidiane..ni Media gani anarindima??Mana leo pia mechi zipo tena nzuri tu(Euro+Copa)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..dah pole mkuu..leo tena siku
 
Vipi mkuu,wamesharekebisha hilo Lalamiko lako????
bado kaka yani apa nawapigia kama simu yangu hawaioni vile hawapokei kabisa nimeona niwapotezee mpaka watakapoamua wenyewe maana mpaka saiv matokeo ya argentina wameandika pending..
 
bado kaka yani apa nawapigia kama simu yangu hawaioni vile hawapokei kabisa nimeona niwapotezee mpaka watakapoamua wenyewe maana mpaka saiv matokeo ya argentina wameandika pending..
Itakua wanaendelea kukusanya hela hili wakulipe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeshafata maelezo niliokwambia awali?????? Mbona ukifuata inakuwa Simple,
Vinginevyo labda useme hujawahi kubet online.
Ndg yangu sijawahi bet hata Sikh moja / hapo naambulia tu Mara odds / na #1 Mara #2/
Am new here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…