Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premierbet wamezuia hela yangu ya rent wiki ya pili sasa kisa mechi moja iliahirishwa. Utaratibu wao ukoje?
 
US Foggia v SC Pisa Y Odd 1.73
FK Aquacity Poprad v AS Trencin Y odd 1.77
Lesotho v Mauritius Y Odd 2.12

Stake 50000
Return 324500
 
habarini wandugu,
kwa wale wa inplay betting kuna timu inacheza sa ivi dk ya 46 inaongoza 9-0 na yenyewe kila baada ya muda mfupi inatipia goli. kwa wale wa inplay hasa bet365 game ya hela hiyo. timu ni Jeanfields Swift women vs Ross county women.

imeshanipa zaidi ya dola mia mbili mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…