Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

german win tena 1-0
brazil win 3+

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
wka norma ya hao watu bhuana
 


HIzo dola 200 bado unazo mpaka sasa..? ama ushazirudisha zote.?

hahahahhahahaaaa
 
ninazo mkuu, nime withdrawal $330 na nimeacha $ 100 ya kuendelea kucheza. uzuri wa inplay mwenendo wa mechi za magoli inakuwa rahisi kubet kuliko kubet before hujaona mwenendo wa mechi unavyokuwa. kwa ile game niliyoiema iliisha goli 18-0, wakati first half ilitoa 9-0.


HIzo dola 200 bado una2zo mpaka sasa..? ama ushazirudisha zote.?

hahahahhahahaaaa
 
US Foggia v SC Pisa Y Odd 1.73
FK Aquacity Poprad v AS Trencin Y odd 1.77
Lesotho v Mauritius Y Odd 2.12

Stake 50000
Return 324500

Huu mkeka niliedit nikamtoa lesotho nikamweka Girona Y. Hawa trencin sijui kama hawajachana. maana hata matokeo siyaoni mtandaoni.
 
wale wa live betting,game germany and ukraine corners over 0.5 au over 1.5 in ten minutes betting.

ukraine wanatumia sana cross na wajerumani okoa yao ni kubutua uende popote ila sio golini. ndo mana kona ni za kumwaga.

but pia tukumbuke no gurantee in betting.
 


Hivyo eh!
 
Prmier wahun sana mwenyewe niliweka pesa inaeenda wk sasa bdo accout haisomi e.meil hata hawajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…