Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimekula ka 16K.... Niliwapa double chance German ,Poland, Brazil, atletico mineiro, Croatia..... Kwa 5K .... #sikuupost
 
Jamani kuna msemo unasema mficha uchi hazai.kiukweli mhindi amenila pesa yangu mpaa sasa naisi laki nne imefika sasa roho inaniuma nataka nijilipue angalau nirudishe robo ya hela yangu au nusu.navyozungumza kuna wengine watachukulia utani lakini naongea kwa uchungu.sasa nataka niweke spain win na portugal win naweka stake 300000.najua humu kuna wataalamu wa soka so kabla cjafikia uamuzi huo naomba mnishauri ndugu zangu.ntashukuru sana kwa ushauri wenu.
 
one mic test one two one two....
 
Attachments

  • mbombo.png
    mbombo.png
    5.1 KB · Views: 39
Jamani kuna msemo unasema mficha uchi hazai.kiukweli mhindi amenila pesa yangu mpaa sasa naisi laki nne imefika sasa roho inaniuma nataka nijilipue angalau nirudishe robo ya hela yangu au nusu.navyozungumza kuna wengine watachukulia utani lakini naongea kwa uchungu.sasa nataka niweke spain win na portugal win naweka stake 300000.najua humu kuna wataalamu wa soka so kabla cjafikia uamuzi huo naomba mnishauri ndugu zangu.ntashukuru sana kwa ushauri wenu.
Spain mpe double chance au cheza magoli,Czech sio wa kuwadharau.
 
Jamani kuna msemo unasema mficha uchi hazai.kiukweli mhindi amenila pesa yangu mpaa sasa naisi laki nne imefika sasa roho inaniuma nataka nijilipue angalau nirudishe robo ya hela yangu au nusu.navyozungumza kuna wengine watachukulia utani lakini naongea kwa uchungu.sasa nataka niweke spain win na portugal win naweka stake 300000.najua humu kuna wataalamu wa soka so kabla cjafikia uamuzi huo naomba mnishauri ndugu zangu.ntashukuru sana kwa ushauri wenu.

Pole bro, Kanjibah anaweza akakula mpk ukachanganyikiwa ... Spain & Portugal (all win) nafkiri iko safe

  • Monday 13. June 13:00
    Consadole Sapporo vs V-Varen Nagasaki
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.94
  • Monday 13. June 14:00
    FC Anyang vs Chungju
    Both Teams to Score
    Bet: Y
    Odds: 1.78
  • Monday 13. June 16:00
    Spain vs Czech Republic
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.44
--------------------------------
Total odds = 4.97
 
asante mkuu
 
siumizi kichwa leo, natembea na hii mazima.
 
mamaeee brazil umenichania mikeka yote 5? najuuuuuta kukufahamu.....hili lidunga bora lifutwe kazi....yaani linaacha wachezaji wa maana kwenye benchi linachezesha magalasa? nyambaf zake! afadhali sijatia dau kubwa.
 
Back
Top Bottom