Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

All the best mkuu ...

Republic of Ireland (currently 33th on FIFA ranking) vs Sweden (currently 35th on FIFA ranking) haitakuwa mechi rahisi kwa Sweden. Ushauri hapa ni kucheza magoli, Under 2.5 (odd 1.48)
Ata ukicheza both team score (GG) nnayo ni nzuri nazan
 
28+
 
poa naandaa wa backup..
 
Jana mechi ya Brazil imeshindwa kufikisha hata 2 goals..! Duh! Kwel wametiiiisha..

Anyway,Yaliyopita si ndwele.
 
Mimi now nacheza KENO tu...hii mipira stress tu timu zinatoa matokeo ya kifala sana. Bora keno inanipunguzia machozi
 
Ata ukicheza both team score (GG) nnayo ni nzuri nazan

Mkuu hii game kuisha 0-0 au 1-0 ni kufikia tu ... EURO ya safari hii team nyingi ziko vzr sana defensively. Utagundua mpaka sasa zimeshachezwa mechi 7 lakini jumla ya magoli ni 13 tu (wastani wa kila game kuwa na magoli 1.8 ~ 2).
 
Kama kawaida huwa naweka mikeka miwili tu kwa siku...
Kwa anzia leo nutakuwa naishare na nyie hapa twende sawa...

13.06.2016
Mkeka 1
..Sapporo 1x
...Becheon i1-2
...Anyang 28+
...Spain 28+

Mkeka 2
...sweden 28+
...belgiun 28+
...mexico 2-4
...al ahly i1-2

Alternative(huu nawekaga jero tu na siuhesab kabisa ila unakuwa upo tu)
...spain 1&3+
...sweden win
...mexico win
...belgium win
...sapporo win
...bucheon win
...al ahly 28+

Kesho asubuh nawapa feedback ya hii mikeka
I place at meridian
 
Back
Top Bottom