Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Brazil si kapigwa mkuu au double chance ya 12Nimekula ka 16K.... Niliwapa double chance German ,Poland, Brazil, atletico mineiro, Croatia..... Kwa 5K .... #sikuupost
yap ya 12...Brazil si kapigwa mkuu au double chance ya 12
mkuuKwa upande Wang apo uhakika
Spain mpe double chance au cheza magoli,Czech sio wa kuwadharau.Jamani kuna msemo unasema mficha uchi hazai.kiukweli mhindi amenila pesa yangu mpaa sasa naisi laki nne imefika sasa roho inaniuma nataka nijilipue angalau nirudishe robo ya hela yangu au nusu.navyozungumza kuna wengine watachukulia utani lakini naongea kwa uchungu.sasa nataka niweke spain win na portugal win naweka stake 300000.najua humu kuna wataalamu wa soka so kabla cjafikia uamuzi huo naomba mnishauri ndugu zangu.ntashukuru sana kwa ushauri wenu.
nashukuru kwa ushauriSpain mpe double chance au cheza magoli,Czech sio wa kuwadharau.
Jamani kuna msemo unasema mficha uchi hazai.kiukweli mhindi amenila pesa yangu mpaa sasa naisi laki nne imefika sasa roho inaniuma nataka nijilipue angalau nirudishe robo ya hela yangu au nusu.navyozungumza kuna wengine watachukulia utani lakini naongea kwa uchungu.sasa nataka niweke spain win na portugal win naweka stake 300000.najua humu kuna wataalamu wa soka so kabla cjafikia uamuzi huo naomba mnishauri ndugu zangu.ntashukuru sana kwa ushauri wenu.
asante mkuuPole bro, Kanjibah anaweza akakula mpk ukachanganyikiwa ... Spain & Portugal (all win) nafkiri iko safe
--------------------------------
- Monday 13. June 13:00
Consadole Sapporo vs V-Varen Nagasaki
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.94- Monday 13. June 14:00
FC Anyang vs Chungju
Both Teams to Score
Bet: Y
Odds: 1.78- Monday 13. June 16:00
Spain vs Czech Republic
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.44
Total odds = 4.97
brazil wameniachia umasikiniBrazil washenzi sana
ambaye unamuamini ndo anachana dadadqBrazil washenzi sana
siumizi kichwa leo, natembea na hii mazima.Pole bro, Kanjibah anaweza akakula mpk ukachanganyikiwa ... Spain & Portugal (all win) nafkiri iko safe
--------------------------------
- Monday 13. June 13:00
Consadole Sapporo vs V-Varen Nagasaki
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.94- Monday 13. June 14:00
FC Anyang vs Chungju
Both Teams to Score
Bet: Y
Odds: 1.78- Monday 13. June 16:00
Spain vs Czech Republic
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.44
Total odds = 4.97
siumizi kichwa leo, natembea na hii mazima.