Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Spain wanapita na kijiji hapa. Laaaaalaaalaaaaaaaaaaa hapanaaaaaaa badoooo .....mhindi anachungulia nyota anakuda kitambi hapa ..... Dahhhh hatari sana
Ivi mkuu kweli dakika hizo 81 ndo namwona yuko Droo ama ni macho yangu
 
Spain wanapita na kijiji hapa. Laaaaalaaalaaaaaaaaaaa hapanaaaaaaa badoooo .....mhindi anachungulia nyota anakuda kitambi hapa ..... Dahhhh hatari sana

Daaah kijiji haswaaa ... Spain wana forward line butu sijawahi kuona
 
Hahahha Spain bana
Yaani unawakasirisha watu hivi hakika hawatakupa kitu ati
 
Back
Top Bottom