Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] hatimaye mpira umeisha (Spain 1-0 Czech Rep) ... daah wale wa 2+ majanga. EURO ya mwaka huu timu zimewekeza kwenye defense. Saiv ni mwendo wa I0-1, I0G, Under 2.5 baaaasi
 
Hahahahahahahaaa...hakuna siku nimecheka kama leo, hakiamungu leo mmekula kwa jasho hasa.


Hahahahah .... simpatii picha KUNDULE, maana kupigwa zaidi ya kilo 4 af na leo kanjibah kusepa na kilo tena ingekuwa majanga sn [emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom