Mzee Wa Kaliua
Member
- Oct 13, 2012
- 65
- 56
Magumu kadhaa unayoweza pitia yanakuwa ni kipimo cha imani kwako na hapo Mungu hukuacha upigane mwenyewe kuonyesha kipimo cha imani yako
Vipigo vikizidi watu wanaweka 100 waambulie hata kidogo wajipange, inaelekea mkeka uliku una odds nzuri (watakuwa wameambulia japo mtaji)Hongera sana.
Ila watu inabidi waachane na kuweka 100 100 hazina msaada.
Fikiria kila mtu angetupia hata 1000 tu.
Leo mhindi angeamka na masiriko mengi
Kuna bata wa Cyprus wanataka kuhara hapaDah, kinyonge sn wakamalia, kanj anazid kutufanya idd tuione chungu.
Ok sio issue sn, code hiyo hapo weka hata buku kesho usikose mtaji[emoji123][emoji123]
96C2458.
Mbona ume-comment hapa au unamaanisha a\c nyingine?Anyway embu jaribu ku-update email yako maana kama wiki 2 hivi ilikuja message ya ku-update email au ku-change email, nili-delay nikajikuta siwezi comment, after update ikawa shwari (HAKUNA UJUMBE WA UPDATE EMAIL)account hii naomba uifungue siwezi kuccoment @moderetaView attachment 2593040View attachment 2593041
Vipigo vikizidi watu wanaweka 100 waambulie hata kidogo wajipange, inaelekea mkeka uliku una odds nzuri (watakuwa wameambulia japo mtaji)
Mkamalia hali inavyoonesha Leo sio nzuri ngoja tujaribu kesho[emoji123]Kuna bata wa Cyprus wanataka kuhara hapa
Hizi ligi nyingine ni kuzipotezea tu maana ndo zinazojirudia kwenye kuchana mikekaMkamalia hali inavyoonesha Leo sio nzuri ngoja tujaribu kesho[emoji123]
[emoji1787][emoji1787] pole mkamalia kesho pia Ni siku mkuu[emoji123]CSKA MOSCOW kapeleka forward zake Ukraine ***** zake kashaunyea mkeka wangu
Na ni final na yuko home kmmmkCSKA MOSCOW kapeleka forward zake Ukraine ***** zake kashaunyea mkeka wangu
Ngoma ngumu sana hii,acha niweke earphone masikion nimpe roma maua yake nilale tu[emoji1787][emoji1787] pole mkamalia kesho pia Ni siku mkuu[emoji123]
Huyo fala sjawai kumbetia maana namjua yeye ni mzee wa kuchoma mikeka tuCSKA MOSCOW kapeleka forward zake Ukraine ***** zake kashaunyea mkeka wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu u mbanga hatari.Ngoma ngumu sana hii,acha niweke earphone masikion nimpe roma maua yake nilale tu
🔥🔥Usiogope odds
kwny mikeka ubongo wangu ushakwama, nasubir code zote za betpawa kesho ni kucopy na kupaste tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu u mbanga hatari.
Jipange kesho mkuu nayo ni siku pia