Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukitaka pesa weka mke na watoto kwa MANCITY,Leo ushindi n muhimu pale alianz arena
 
Kuna wengine huwa wanatuma PM kabisa kuomba hela ya kubeti.
binafsi huwa sijibu kwa sababu mimi mwenyewe nikipigwa sana huwa napumzika hata wiki au nisipokuwa na bajeti ya kubeti huwa silazimishi kwa kukopa.
sasa wengine washajiwekea utaratibu kuwa ni lazima abeti.
Kule twitter ndo wapo wengi wenye pigo za hivi
 
Benki ndo kama inavyoonekana hapo sh 3 leo nikikosa chochote ni mpaka jumamosi 😁😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20230419-220501_Chrome.jpg
    Screenshot_20230419-220501_Chrome.jpg
    79.7 KB · Views: 26
Back
Top Bottom