Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,826
Wanachofanya wanatoa tofaut tofauti. We akikupa ni tofaut na mwenzako kwahyo katika wote atakao wapa lazma kunaambao zitatoa tuuNi biashara ambayo ipo hatuwez kusema ni utapeli ila kwa uelewa wangu hakunaga fixed games ambazo zinauzwa , fixed games labda akuuzie muhindi mwenyew [emoji41][emoji28]
Mfano mech ya inter vs benifica
Wakwanza anapewa inter win
Wapili anapewa benifica win
Watatu anapewa draw.
Wengine ndo wanapewa 1X
Wengine X2
Hapo lazma kunammoja atakula tuuu