Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuko na codes zilitumwa humu eeeh bana eeeh keka linaenda gud so powaaaah acha nckilizie matimu ya usiku😃😃😃😃
 
Huyo kadif mwaka 2018 alikuwa anajua kabisa anashuka daraja na mechi ya mwisho alicheza na man u, unaambiwa alipiga mpira huo kama ananacheza fainali ya uefa. Mchezaji mmojawapo alikuwa anaitwa Babel pumbaf zake sijui yuko wapi!

Mwisho wa siku akashinda 2-0 na mkeka wangu ukawa chali.

Timu inayoshuka daraja ni sawa na demu mwenye ukimwi, ni mtego.
Hatar sana, zanakaza balaa
 

Attachments

  • Screenshot_20230420_004103_Chrome.jpg
    Screenshot_20230420_004103_Chrome.jpg
    47.9 KB · Views: 21
Back
Top Bottom