The king9999
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 382
- 939
sikutuma nilikua bado naijaribu , hata stake niliweka 30Ulituma mkeka humu?
sikutuma nilikua bado naijaribu , hata stake niliweka 30Ulituma mkeka humu?
nilituma hii , alyeflex by two amewinBE7EC01 sportybet , flex by two , tia mzigo mnene
Kwani ungeweka tujaribu wote ingekua shida?sikutuma nilikua bado naijaribu , hata stake niliweka 30
uliifata hiyo niliyotuma?hm👆Kwani ungeweka tujaribu wote ingekua shida?
Tutumie code chief ili tujalibu iyo formula yako kama itakuwa pw itakuwa imepunguza maamuvu kwa sisi wakamalia Kwan wote hapa adui yetu ni mmoja kanjibaiuliifata hiyo niliyotuma?hm👆
Za jana vp5799D0A[emoji460][emoji120] SPORTYBET
Hahahaha ila kwa kweli......kaka kumbe na wewe teja kwa mhindi........🤣🤣🤣tuko wengi aseeLeo Hela ilikuepo ktk betting,basi tu[emoji26]
Alafu hapo kwenye kuflex una flex kwenye single bet au multiple bet fafanua hapouliifata hiyo niliyotuma?hm👆
Game 34Hivi lakwako ndiyo hili lenye game 55 au 46 maana yote ni mwendo mdundo yapo salama..
Kwel upos serious mkuu 😁😁Aahahaaaaa
Mkuu huu hapa
Nafikiria kuongoza hela
Siku hazilingani mkuuhakika option ya draw or over 2.5 inatoa , hapo nilijaribu match zote za jana ucku kuanzia saa sita zilikua 28 nikaflex zikabaki 24 na ndio zimeboom... nilikua na trick moja hv.. inategemea na mtaji wako , anza hata na elfu 20 , kisha uweke mikeka 10 kwa stake ya elfu mbili.. mikeka hyo iweke kwa series bila kuruka match , yan kwa mfululizo , weka match kumi kisha stake elfu mbili , endelea tena match kumi zinazofuata kisha stake elfu mbili , hvyo hvyo mpk uwe na mikeka kumi ya stake ya elfu mbili , hii option ya draw or over 2.5 ina probability kubwa ya ushindi sababu itachana tuu endapo timu zikifungana 1 :0 , au 2 :0 , vinginevyo matokeo mengine ni win. KAMA MMENIELEWA REPLY BACK , jana imetoa timu 24 kati ya 28 , na nilifululiza match zote bila kuskip match , probability ni kama 85%
View attachment 2593703
Mi mkongwe Sana humu[emoji4]Hahahaha ila kwa kweli......kaka kumbe na wewe teja kwa mhindi........[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuko wengi asee
Amesahau Enzi zako uko active kwenye group... dah sema nn tumebeti sana ase [emoji16][emoji16]Mi mkongwe Sana humu[emoji4]