Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Nilimfata mazima ingawa sio kawaida yanguUlimpa direct win?
Nilimfata mazima ingawa sio kawaida yanguUlimpa direct win?
Nilimpa win or draw ametoaUlimpaje mkuu
Hongera sana MkuuHaya mkuu
Mke na watoto wameenda Mkuu. 😭😭😭😭Ukitaka pesa weka mke na watoto kwa MANCITY,Leo ushindi n muhimu pale alianz arena
Pole sana mkuuMke na watoto wameenda Mkuu. 😭😭😭😭
Timu ya hovyo sana yan,Russia mwny akili ni Zenit baskumbe tulikua pamoja mkuu...sasa hivi tungekua tunamskilizia Luton tu sema ndio hivyo huyo kiande kavuruga mipango
Mimi nikimkuta hachezi simchukui mwingine napita tuTimu ya hovyo sana yan,Russia mwny akili ni Zenit bas
Kuna muda uoga haifai
#usiogope odds
AahahaaaaaUmesahau kuweka na langu pengine tunaweza pata chochote japo ndo kwanza tupo gairo 😁😁
Hivi lakwako ndiyo hili lenye game 55 au 46 maana yote ni mwendo mdundo yapo salama..Umesahau kuweka na langu pengine tunaweza pata chochote japo ndo kwanza tupo gairo 😁😁
Mkuu code iko wap na kampuni ganAahahaaaaa
Mkuu huu hapa
Nafikiria kuongoza hela
Maana yangu kati ya hiyo mikeka kumi ya elfu mbili mbili , ukitick mmoja bas hyo elfu ishirin yako itakua imerudi , na zikiktik zingine ndio faidahakika option ya draw or over 2.5 inatoa , hapo nilijaribu match zote za jana ucku kuanzia saa sita zilikua 28 nikaflex zikabaki 24 na ndio zimeboom... nilikua na trick moja hv.. inategemea na mtaji wako , anza hata na elfu 20 , kisha uweke mikeka 10 kwa stake ya elfu mbili.. mikeka hyo iweke kwa series bila kuruka match , yan kwa mfululizo , weka match kumi kisha stake elfu mbili , endelea tena match kumi zinazofuata kisha stake elfu mbili , hvyo hvyo mpk uwe na mikeka kumi ya stake ya elfu mbili , hii option ya draw or over 2.5 ina probability kubwa ya ushindi sababu itachana tuu endapo timu zikifungana 1 :0 , au 2 :0 , vinginevyo matokeo mengine ni win. KAMA MMENIELEWA REPLY BACK , jana imetoa timu 24 kati ya 28 , na nilifululiza match zote bila kuskip match , probability ni kama 85%
View attachment 2593703
Ulituma mkeka humu?Maana yangu kati ya hiyo mikeka kumi ya elfu mbili mbili , ukitick mmoja bas hyo elfu ishirin yako itakua imerudi , na zikiktik zingine ndio faida