Mzee mimi nimeanza hvi majuzi hii shughuli, nilianza na gemu za simba na Yanga kila wakicheza nastake si chini ya laki tano nakula, ikaja world cup mechi za mwanzoni nikawa nastake high nakula.....baada ya hapo nikawa napigwa sana.....sasa hvi niko ni kama nimepigwa ganzi maana napigwa sanaMi mkongwe Sana humu[emoji4]
Mambo yalikua bam-bam[emoji4]Amesahau Enzi zako uko active kwenye group... dah sema nn tumebeti sana ase [emoji16][emoji16]
man utd hatoboi-sent from heaven-
1. West ham - win
2. Az alkmaar - win/draw
3. As Roma - win/draw
4. Juventus - win/draw
5. Man utd - win/draw
Betting ainaga formation we siku iyo ukiotea mchongo ndo bahati yko.hakika option ya draw or over 2.5 inatoa , hapo nilijaribu match zote za jana ucku kuanzia saa sita zilikua 28 nikaflex zikabaki 24 na ndio zimeboom... nilikua na trick moja hv.. inategemea na mtaji wako , anza hata na elfu 20 , kisha uweke mikeka 10 kwa stake ya elfu mbili.. mikeka hyo iweke kwa series bila kuruka match , yan kwa mfululizo , weka match kumi kisha stake elfu mbili , endelea tena match kumi zinazofuata kisha stake elfu mbili , hvyo hvyo mpk uwe na mikeka kumi ya stake ya elfu mbili , hii option ya draw or over 2.5 ina probability kubwa ya ushindi sababu itachana tuu endapo timu zikifungana 1 :0 , au 2 :0 , vinginevyo matokeo mengine ni win. KAMA MMENIELEWA REPLY BACK , jana imetoa timu 24 kati ya 28 , na nilifululiza match zote bila kuskip match , probability ni kama 85%
View attachment 2593703
Big boi on the beatC374CB8
77ED0E9
CA1F34E
986E9A8
9944697
7D29E8A
Sportybet
flex ni kwenye multiple bet , ukiflex odds zinapungua ila timu ikichana utakua bado umewin inategemea umeflex timu ngapAlafu hapo kwenye kuflex una flex kwenye single bet au multiple bet fafanua hapo
ni sawa ila angalia option ambazo sio risky sanaBetting ainaga formation we siku iyo ukiotea mchongo ndo bahati yko.