hakika option ya draw or over 2.5 inatoa , hapo nilijaribu match zote za jana ucku kuanzia saa sita zilikua 28 nikaflex zikabaki 24 na ndio zimeboom... nilikua na trick moja hv.. inategemea na mtaji wako , anza hata na elfu 20 , kisha uweke mikeka 10 kwa stake ya elfu mbili.. mikeka hyo iweke kwa series bila kuruka match , yan kwa mfululizo , weka match kumi kisha stake elfu mbili , endelea tena match kumi zinazofuata kisha stake elfu mbili , hvyo hvyo mpk uwe na mikeka kumi ya stake ya elfu mbili , hii option ya draw or over 2.5 ina probability kubwa ya ushindi sababu itachana tuu endapo timu zikifungana 1 :0 , au 2 :0 , vinginevyo matokeo mengine ni win. KAMA MMENIELEWA REPLY BACK , jana imetoa timu 24 kati ya 28 , na nilifululiza match zote bila kuskip match , probability ni kama 85%
View attachment 2593703