Nenda kwenye terms and conditions kuna mengi yameandikwa yatakusaidia.Jamani mi mgeni kidogo kwenye kubet,nauliza 0.5 inamaana gani
0.5 over kupata kuanzia goli 1 na kuendelea mfano 1-1, 1-2, 0.5 under lisipatikane goli lolote mfano 0-0Jamani mi mgeni kidogo kwenye kubet,nauliza 0.5 inamaana gani
Heeee,Jamani mi mgeni kidogo kwenye kubet,nauliza 0.5 inamaana gani
Tayari uko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FUORENTINA weeeee mbwaaaaa
Jamaa wanapindua meza kibane,aise
Bado goal Moja tuuuu,wa level aisee mpiraaaa
Tayar huyu keshatolewa mbwa kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
FUORENTINA weeeee mbwaaaaa
Jamaa wanapindua meza kibane,aise
Bado goal Moja tuuuu,wa level aisee mpiraaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FUORENTINA weeeee mbwaaaaa
Jamaa wanapindua meza kibane,aise
Bado goal Moja tuuuu,wa level aisee mpiraaaa
Kule walifunga moja kwhyo ngoma draw fiorentina wanaweza aga wakiongezwa goli moja tuu byebye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FUORENTINA weeeee mbwaaaaa
Jamaa wanapindua meza kibane,aise
Bado goal Moja tuuuu,wa level aisee mpiraaaa
Balaa zitoooChuma 4-4 agg [emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
Point ya msingi sana mkuu, tunasubiri treni turuke nalo.Bila Shaka wakamalia kuna kitu tunajifunza kupitia hii game ya fiorentina
Hapo ndio umuhimu wa option ya magoli inapokuja hata Kama timu imeaminiwa vp na kanj[emoji123][emoji123]
Bila Shaka wakamalia kuna kitu tunajifunza kupitia hii game ya fiorentina
Hapo ndio umuhimu wa option ya magoli inapokuja hata Kama timu imeaminiwa vp na kanj[emoji123][emoji123]