Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

asilimia 75 ya bando lako.
Siku nayo inapita.
Mikeka tisa imebaki minne.
Na haina mbele wala nyuma.
Kesho nayo siku.
ASANTE KIFIRIONTINA.
Usiku mwema. Acha tumalizie asilimia zilizobaki. Siku nitayokula mimi kibunda betpawa itakua ni mwisho wa kuitumia. Muhindi hana masikhara aisee
 
Naombeni kusaidiwa, kwann hii bet imewekwa lost na wakati option niliyoweka imetoa
 
ila kubeti sometimes huwa ni comedy's, sasa huyu fiorentina aliona tutafaidi sna 😂😂
 
Hii game ya Sevilla na man u itaisha hivi 2 - 1 sevilla anashinda hii gemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…