Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
Sawa,ndio zetu WakamariaHii game ya Sevilla na man u itaisha mbili moja..
ulimnyang'anya fiorentina shuti 9.5, alafu ukamtaka aongoze idadi ya shuti......Naombeni kusaidiwa, kwann hii bet imewekwa lost na wakati option niliyoweka imetoaView attachment 2594501
Pole Mdau,hii ilikuwa inaitwa ngum kumezaView attachment 2594479
Nimejibetia hiv tu
😢Dah, shukraniulimnyang'anya fiorentina shuti 9.5, alafu ukamtaka aongoze idadi ya shuti......
matokeo yake fiorentina kapiga shuti 17,
huyo mwenzake kapiga 9......
shuti za fiorentina zitakua (17-9.5) = 7.5 (tumeondoa hizo 9.5 ulizomnyang'anya kwenye bet yako),
ukiangalia hapo utaona huyo Poz ataongoza kwa idadi ya shuti (baada ya kuihusisha bet yako)
Umeona eeeh, maana timu zingine zote zitatoa over kasoro Roma, mi naombea hata afungwealafu huyu USG na mwenzio Roma si wafunge magoli
Man u always weka over kule nyuma hakuna beki. ..wachezaji hakuna kule nyuma🤣🤣🤣🤣🤣
Hatari aisee
Man united nae kaanze kujifanya Kingwendu
for the first time game ya man u haina kona 1st half[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],
niliwapa kona over 8.5 full time..... washachana huu mkeka dadeki
Dua mbaba ....2nd half hatumwi mtoto dukani shee....lazima kitaumana...kitaeleweka tu....hope 4 good....alafu huyu USG na mwenzio Roma si wafunge magoli
naichek game yao hapa sevilla wanakaba mpaka kivuli, ushindi sidhani kama utakuwepo labda wale wa x2 wanawaza kuambulia chochoteMan U nyumbu kama nyumbu......[emoji24][emoji1785][emoji1785][emoji1785][emoji1785]
game ya roma kwanilivyo icheki ngumu kaka, labada kipindi cha pili wabadilike, morinho anarusharusha tu mikono uwanjanialafu huyu USG na mwenzio Roma si wafunge magoli
1-0Apa labda hawa feynood ndo wafunge
Hawa Roma ni punda tu