fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,890
[emoji23][emoji23][emoji23]Na kweli ni fungulia mbwaaa
Sevilla na Europa ni kama Madrid na UefaLeo ndo nimeamini man u ni mke halali wa savilla [emoji119][emoji120]
80,000 safi
Eid Njema
Thanks Lord nimerudisha hasara yote ya Jana na Leo...Wale wa kujilipua...
4B33FE5View attachment 2594283
Mkuu leo ni mwendo wa Over 1.5 tuuUmeona eeeh, maana timu zingine zote zitatoa over kasoro Roma, mi naombea hata afungwe
Hhahahah mbona Leo wengi walimuua nyumbu...Ila muhindi mshenzi et alimuwekea man u[emoji91] sa sijui moto [emoji91] wakazi gani [emoji28][emoji28] et na yy anajifanya anabeti hajui chochote [emoji1784][emoji41]
Wadau bet won kuna aliyeufuata huu mkeka niliupost mchana mida ya saa 7010E206 Betpawa, 1.5 over Europa league na Europa Conference game 8 odd 7.
Tulio pamoja kwenye hili jamvi tutegeshe alarm tuamke saa 1:45 kuangalia vibwengo wawili waliobaki0A9F018 bet pawa tia 10k huwenda sikukuu ikawa njema