Asante kiongozi, pamoja sanaHongera maana leo mechi zote zimetoa over 1.5
Hii imetoafor the first time game ya man u haina kona 1st half[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],
niliwapa kona over 8.5 full time..... washachana huu mkeka dadeki
Basel alichomoa dakika ya 86, kwa wale walioweka 1.5 over game za Europa league na Europa Conference ni kicheko tu kwa leo.NICE vs BASEL
Mmetupa wakati mgum mnooo,lakini mmeumaliza mwendo kwa amani, mengine mtajuana wenyewe na mitimu yenu.Muhim over 1.5
Umenitoa kimasomaso leo bwana fizo na elfu kumi. Mm nasubiri watiki game waliohold nicashout aisee. Nirudishe hasara ya wiki nzima.Tulio pamoja kwenye hili jamvi tutegeshe alarm tuamke saa 1:45 kuangalia vibwengo wawili waliobaki
matreni yangu matatu yamepona,Hii imetoa
Overall corners 13
🤣🤣🤣Usijaribu kuingia mkenge hivyo vimoto🔥Ila muhindi mshenzi et alimuwekea man u[emoji91] sa sijui moto [emoji91] wakazi gani [emoji28][emoji28] et na yy anajifanya anabeti hajui chochote [emoji1784][emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usijaribu kuingia mkenge hivyo vimoto[emoji91]
Hata odds zenyewe mara nyingi huwa jau
Unakuta yanga anacheza na geita
Yanga yupo away kapewa 1.70[emoji38]
Kwa wasioijua ligi ya bongo wataogopa na kumpa yanga DC ila sie bongo huku ndo kwanza tutashangilia odds za bure
Izoo 👊Twende kazi
AahajaajaaaBetting unatuma wanajeshi vitani halaf ww unalala zako kitandani unawaangalia wanavyopambana...ndio maana haijawahi kua nyepesi
Twitter Follow @SpoortbookTz.Sportbet code: 0173E49
Odds : 2.81
Day 20/04/2022
IMANI NA KUJITUMA
Twitter: follow @sportbookTzView attachment 2593967