Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betpawa wauni sana sina game yoyote kwenye mkeka wangu iliyolive ila cash out haikubali na mechi ya kwanza leo inaanza saa tatu
 
Betpawa wauni sana sina game yoyote kwenye mkeka wangu iliyolive ila cash out haikubali na mechi ya kwanza leo inaanza saa tatu
Kuna mtu aliwaelewesha kuhusu cash out, kasome terms and conditions zao, kiufupi cashout sio haki ya mteja! Kampuni ndo mwamuzi wa mwisho, ana haki ya kukupa au kutokupa, kanji anatoa cashout akiona mambo sio kwake, ila kama bado ana ona uwezo wa kukupiga za uso bado upo hapo hawezi kutupa Taulo ulingoni, vita inaendelea

Hizi kampuni zimekuja kutafuta pesa sio kuuza sura😅
 
Terms nimesoma na nina kila vigezo vya kupata cash out kwa mkeka wangu 😅😅
 
Habari wadau?..
Jana ilikua siku yenye misukosuko mingi Ila tushukuru maana kuna codes zilitoa humu kutuokolea mitaji....

Kuna treni moja la odds 24 ilichana timu moja ya usiku wa manane.... Aisee!!!

Kazi iendelee
Huyo kibwengo mmoja kaninyima 300k ikabidi nikash out 200k baada ya kuona mambo ya yanakwenda sio
 
Jana nilibeti sportybet elf tano. Mkeka ni lost lakini nimeandikiwa won return elf 5. Ina maana Gani na mbona account Haina hela. Ni account yangu mpya ...
 
SIMBA vs Wydad

Betting companies za kibongo hovyooo

Yaani Mechi ya kesho wanataka kuiweka kesho hiyo hiyo,huku Mechi ya Esperance de Tunis inasiku ya 3 ipo mtandaoni na inachezwa kesho

SPORTBETY hovyooo kwel

Watu tunataka tuweke mkeka wa akili,,huku Simba nampa goal,kule Yanga nampa goal.

Nikija hapa namtwanga Ihefu direct Win au GG patam
 

Attachments

  • Screenshot_20230421-101452.png
    34.5 KB · Views: 26
  • Screenshot_20230421-101439.png
    35.5 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…