Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Nimejikuta nacheka balaa.mie toka jana brazil apigwe na peru sina imani na haya matimuNgoja niende chooni, nikirudi Spain atakuwa ameshafunga goli, hii presha noma sana.
afadhali sasa naweza hemaNimejikuta nacheka balaa.mie toka jana brazil apigwe na peru sina imani na haya matimu
Ulikua msiba wa taifa huu...!!
Nlikuwa naanza kuzionea hata aibu kuziangalia kende zangu jinsi nlivyozibinya hapaMpira kitu cha ajabu yaani dakika zote 86 bila bila afu dakika ya 87
My buddy ....Mpira umeiashaJamani mpira bado haujaishaaa ... yasije yakawa ya England vs Russia
Hahahahahahahaaa...hakuna siku nimecheka kama leo, hakiamungu leo mmekula kwa jasho hasa.Jamani mpira bado haujaishaaa ... yasije yakawa ya England vs Russia
Spain vs czech
tip 11>
Odds 2.05
Hahahahahahahaaa...hakuna siku nimecheka kama leo, hakiamungu leo mmekula kwa jasho hasa.
dah we acha ndugu yangu nilishikwa na tumbo la kuharaHahahahah .... simpatii picha KUNDULE, maana kupigwa zaidi ya kilo 4 af na leo kanjibah kusepa na kilo tena ingekuwa majanga sn [emoji13][emoji13]