Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu mwenye namba ya sportybet huduma kwa wateja naomba nataka kubadili namba ya simu iliyopo kwenye acc
 
wakuu mwenye namba ya sportybet huduma kwa wateja naomba nataka kubadili namba ya simu iliyopo kwenye acc
Utakesha fanya hivi ..log out halafu delete account yako na ufute hiyo app then download app mpya na utumie account namba unayoitaka
 
Utakesha fanya hivi ..log out halafu delete account yako na ufute hiyo app then download app mpya na utumie account namba unayoitaka
ni makosa na marufuku kuwa na acc zaidi ya moja ukila parefu unazulumiwa na kuhusu kudelete acc wewe huwezi kudelete namba yako bado inakuwa kwenye system mkuu apo utakua na acc mbili
 
Nipo sportybet mwaka mbona sijawahi kuipata hiyo
Wanaangalia vigezo gani
Itakuwa hujaitambua,maana haingii kwenye account,kwakuwa hutakiwi kuitoa.
Inakuja kama Gift box,sasa mwenyewe nilikuwa na ignore najua ni ile Michezo yao ya Spinning.
Na wanakupa siku Chache mnoo inakuwa expired.
Hivi Karibuhi nikasema nifungue nakuta elf 9,000,tena expire date ilikuwa masaa tu.

Mie almost kila mwezi naipata.
 
kwa wale tulioweka hizi code , naona timu moja ndio inachana kwa kila code , naamini mikeka hyo 13 iliyobaki tutapiga , amini kwamba... ukiona option yenye odds nzuri na kwenye timu 10 zinatiki 9 basi hyo option ni nzuri, amini tutampiga kwa hii hii option.. next time nitaweka timu tano tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…