stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Treni nilipanda...Hujapanda bado mkamalia utakosa hela ya sikukuu [emoji1787][emoji123][emoji123]
Ndo nimechungulia hapa naona fk qarabag na mwenzake hawatabiriki tuombe muujizaš
Treni nilipanda...Hujapanda bado mkamalia utakosa hela ya sikukuu [emoji1787][emoji123][emoji123]
Gongo la mboto wiki iliyopita jamaa anaitwa tete kala milioni mia naneMdau Abby uladu juz tu huko kusini Kati ya lindi au mtwara kuna mkamalia kampiga kanj Kama sikosei 116 na coins zake.
The gamble is real mkuu[emoji123][emoji123]
KongoreGongo la mboto wiki iliyopita jamaa anaitwa tete kala milioni mia nane
Code iko wapi?Usiogope odds
9E80048Code iko wapi?
odds ni namba tu kwa nini uiogopeUsiogope odds
Huwa siko zote iko hivo amini kwamba no sure odds.hakuna uhakika mkuu kwenye betting utashangaa mech ya arsenal 0-0
Nimepanda hili26827D6 Betpawa, treni la 0.5 over kuanzia leo Ijumaa mpaka Jumapili zipo timu 60.
Drake bil 4Hivi kuna mtu ashawai kumpiga kanji million 100 au...kila siku anawapiga watu tu kanji
Nliip goli mbili hapa nimeingia cha kikeFc ludogoret mpinzani kala umeme lakini wanashindwa kushinda[emoji38][emoji38][emoji38]
Muujiza tayari ššTreni nilipanda...
Ndo nimechungulia hapa naona fk qarabag na mwenzake hawatabiriki tuombe muujizaš
Kuna vienna wale waongeze goli..Muujiza tayari šš
Hao ndo basi tenaNliip goli mbili hapa nimeingia cha kike
Kuna vienna wale waongeze goli..
Dk zinayoyoma tu