Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 600
- 1,527
Treni la katibu mkuu kiongozi bwana othuman dan fodio linaitafuta dodoma sasa tuombe dua lifike kigoma salama ngoma hailali leo leo saa sita usiku tuko kigoma
Ok mkamalia ilikuwa delayed sio?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123][emoji123][emoji483][emoji898]Treni la katibu mkuu kiongozi bwana othuman dan fodio linaitafuta dodoma sasa tuombe dua lifike kigoma salama ngoma hailali leo leo saa sita usiku tuko kigoma
Watatema bungo tu hao muda sio mrefu mkamalia[emoji123][emoji123]Heenreveen anatete treni letu, girst half tayari katoa chuma mbili.
Hawa Nacional ndio bado wanagoma kuonyesha tiketi kwa tiitii.
Hii na bellinzona?Hii game ya uswiz yverdon haipo kwenye flash score wadau?
National washatoa tayariWatatema bungo tu hao muda sio mrefu mkamalia[emoji123][emoji123]
Hii na bellinzona?Hii game ya uswiz yverdon haipo kwenye flash score wadau?
Dk ni ya 24 ngoma ni 0-0Hii game ya uswiz yverdon haipo kwenye flash score wadau?
Mbona bado katibu?National washatoa tayari
Mbona bado katibu?
Hao uhakika mkuuHii na bellinzona?
Dk ni ya 24 ngoma ni 0-0
Tuliomba home apate goli..
Muujiza utendeke
Ila wale wa Portugal nina wasiwasi nao
Dk zinakwenda tu
Bado mkamalia nacional Ila wataachia tu muda bado upo.National washatoa tayari
Linatisha Ila haimaanishi kuwa nisilidandie hili treni😃😃😃😃Tumalizane wiki ijayo
8B403F7
Betpawa
MhhmBado mkamalia nacional Ila wataachia tu muda bado upo.
Waportugal miyeyushoBado mkamalia nacional Ila wataachia tu muda bado upo.