samarianboy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 299
- 395
Hivi nikipata wakamaria 100 wakamuinguzia kanji 500 500 kwa siku, kwa mwezi navuta commission ngapi wakuu?
Swali zuri mkuu, muhindi mbali ,na 500 sio nshu tunaweza kukuchangia 500 kila siku sio mbaya mkuu