samarianboy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 299
- 395
National anasepa na treni la taifa duhhhh
Portugal sio nchi ya kuishobokea kwenye suala la magoliMpira dakika 90 ila sio kwa hii game ya hawa wa [emoji1201] portugal
Kama vp tu rebet tu wakuu apa kwisha habari🥹
Mdada wa mituc kwa kanjibaiHapo utazidi pata hasara
Treni lishaingia gundu.
Uamuzi mzuri ni kusuka jipya.
Nb la weekend jmosi na joili ndo litanoga zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]Treni la katibu mkuu kiongozi bwana othuman dan fodio linaitafuta dodoma sasa tuombe dua lifike kigoma salama ngoma hailali leo leo saa sita usiku tuko kigoma
Tunatumia pesa zetu hakuna shidaHivi nikipata wakamaria 100 wakamuinguzia kanji 500 500 kwa siku, kwa mwezi navuta commission ngapi wakuu?
Hii tabia ya kupangiana matumizi kwa sisi watanzania ndio ushakuwa ugonjwa.Tunatumia pesa zetu hakuna shida
Acha tu yani😃😃Arteta ni mmoja wa viumbe duniani wanapitia kipindi kigumu mmno
Msemo wa Edga Kibwana anakwambia anapia njia ya GOLGOTA
F626CF0Usiogope odds
F3F4FEE
Kapigwa mbili, aiseee mikeka inapukutika kama kideli cha kukuAsenooooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]