samarianboy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 299
- 395
Hivi nikipata wakamaria 100 wakamuinguzia kanji 500 500 kwa siku, kwa mwezi navuta commission ngapi wakuu?
Treni letu kama wale Nacional wangepata goli basi kanji angetukamata kwenye Eerste divisieDa treni kuu limepimduka !!!?.
Da huyu kanji basi tuTreni letu kama wale Nacional wangepata goli basi kanji angetukamata kwenye Eerste divisie
Wapumbavu dk ya 80 game kibao 0-0
Kesho yako imekuwa njema mkuu idd MubarakHuyo kibwengo mmoja kaninyima 300k ikabidi nikash out 200k baada ya kuona mambo ya yanakwenda sioView attachment 2594869
Kesho nayo siku pia mkamalia[emoji123]Sio mbaya kiongozi wetu othuman dan fodio vita tumeipigana vizuri tu.
Tupo nyuma yako suka vitu.