Nakazia
Kazi nzuri mkuu.....πKesho pia Ni siku wakamalia tusikate tamaa[emoji123][emoji123].
Niwatakia usiku mwema wakamalia
unaitoa game kwa favouritesπΉSafi saana odegaard (arsenal KWA kunipatia goli Moja tu nililokuwa Nahitaji....kufungwa kwenu ama kudraw mimi hakunihusu!......nishamaliza biashara
Tatu uko tayariArsenal hata goli 2 zimemshinda Duu! Siku ya kufa nyani.....
Espanyol aisee amepindua treni Ila mapambano tuendeleeKesho nayo siku pia mkamalia[emoji123]
Kuna watu hasa Mayu huwa wanapinga direct win, sasa nimeanza kuwaelewa. Arsenal 2nd half hata shot on target hana halaf ni title contender, kweli maajabu hayaishi kwenye betting.
π₯π₯3F6565B odds 24,β½
D4B7758 odds 21,β½,
........
66F37CB odds 3β½,
2BB7A02 odds 2.13β½
Sportybet,
Kazi ni kwako!