Weka codes mzee hatuoni kitu mapichapicha tuNdugu wazee baada ya mbambamba kutulaza na viatu jana, leo nayo ni siku:
View attachment 2595863
Huu hapa 👆👆👆👆👆 odds 21 mkuuUSHAURI::
Tutafute mikeka yenye codes 5-15 tu za ukweli na uhakika at least kanjibai anaweza kuvuta pumzi ya Moto lakini haya matreni tutabadilisha routes tu Mara kigoma,Mara reli ya Kati Mara tanga ko kanji ataleta dhoruba tu na hatutafika[emoji120][emoji120][emoji120]
Zoom mkuu; PREMIERBET hawana codesWeka codes mzee hatuoni kitu mapichapicha tu
27BC8C8Hapa nawinda odds 6 tu siku ya leo
Nimemlipa toka jana hadi saiv yupo kimya na hakuna hela.Huoni utakwamba kumsubiri akulipe, wakati unaweza tafuta ingine ukaendelea na biashara huku wamdai?
Kaka naomba itume tule wote iddHapa nawinda odds 6 tu siku ya leo
Umeniogopesha ngoja hii pesa jioni nikanywe biaHapa lazima kuna tatizo kwenye kikosi cha Azam au huenda watacheza kikosi B au under 23. Hizi odds nina mashaka nazo:
View attachment 2595869
Mbona alishinda?Psg ni bwege kweli kani kosesha pesa nzuri dah naamka na furaha kumbe boya kafanya yake
Huyo jamaa ni mjinga sana, anaweza kuja kukujibu jumapiliWazee kuna wakala wa 1Xbet Anaitwa Japhet Duka Address yake ni P.o box 35059 Ubungo kanifanyia uhuni nimelipa 19,600/= kwa lipa namba yake ya tigo 7076185 Yenye jina la JADI lakini toka nikamilishe muamala hataki kupokea simu wala kujibu SMS licha ya kuwasiliana nae na kukubaliana nae kabla ya kumlipa..Nipeni ushauri nifanyeje
Wazee kuna wakala wa 1Xbet Anaitwa Japhet Duka Address yake ni P.o box 35059 Ubungo kanifanyia uhuni nimelipa 19,600/= kwa lipa namba yake ya tigo 7076185 Yenye jina la JADI lakini toka nikamilishe muamala hataki kupokea simu wala kujibu SMS licha ya kuwasiliana nae na kukubaliana nae kabla ya kumlipa..Nipeni ushauri nifanyeje
ndio kaka , saizi naandaa code za timu tano tano , nazituma soonKaka na mm nilifata zile code zote ila mm niliweka buku buku, ila sio mbaya mtaji umesharudi, mie naona ni market nzuri, safari ijayo uweke timu tano nadhani tutakula mikeka mingi zaidi, km iliochanika ni timu moja ndio inachana,