Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee kuna wakala wa 1Xbet Anaitwa Japhet Duka Address yake ni P.o box 35059 Ubungo kanifanyia uhuni nimelipa 19,600/= kwa lipa namba yake ya tigo 7076185 Yenye jina la JADI lakini toka nikamilishe muamala hataki kupokea simu wala kujibu SMS licha ya kuwasiliana nae na kukubaliana nae kabla ya kumlipa..Nipeni ushauri nifanyeje
Report 1xbet
 
Hapa lazima kuna tatizo kwenye kikosi cha Azam au huenda watacheza kikosi B au under 23. Hizi odds nina mashaka nazo:
View attachment 2595869
Azam anaitaka nafasi ya 3 kumkimboa Singida Big Stars

First Eleven ipo pale pale but mchrzaji mmoja ndio ana yellow cards zitazomtoa kwenye squad.

Odds sio hoja Jana Arsenal kacheza na kibonde alichokutana anajua mwenyewe.

Jana Polisi kamkalisha mbabe wa YANGA IHEFU kachapwa.

Sasa Ruvu Shooting kwa nafasi aliyonayo ndio maana wameona haitakuwa Mechi nyepesi kea AZAM away
 
Back
Top Bottom