Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

CODE: 7D8BA0A
Odd: 3.12
DAY:. 22/04/2023
Twitter: @SpoortbookTz

THE HUSTLE BRINGS
IMG-20230422-WA0009.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnaohangaika na hao mawakala huko xbet huwa Kuna fixed matches au nanyi mnapigwa tu kama huku betpawa na sporty bet?

Yanini kuhangaika kupitisha hela kwa mtu mwingine wakati Kuna kudeposit moja kwa moja.
Mpigwe tu
Yan hii kitu ya kupitisha pesa kwa mtu mwngn ndio ikufikie siwezi kuifanya, bora nikomae na sportybet yangu tuu
 
Hivi mnaohangaika na hao mawakala huko xbet huwa Kuna fixed matches au nanyi mnapigwa tu kama huku betpawa na sporty bet?

Yanini kuhangaika kupitisha hela kwa mtu mwingine wakati Kuna kudeposit moja kwa moja.
Mpigwe tu
Tafuta mtu akufunze Matumizi ya MasterCard, just imagine umekula mkeka wa milion na unatakiwa wakala akutolee

Do u think utapata hela yako, bora umejua kuwa mawakala ni utapeli.. Ungelia mbeleni
 
Hii Simba vs Wydad
Sitaki kuangalia huku nikishindwa kushangilia.

Options:-
  • WYDAD over 0.5
  • Overall 1.5
  • Corners over 6.5

Hapo nitakuwa na amani ya kuungalia mpira
 
Ni watu kutojua kutumia simu..mutandao yote washajiunga na master card...ukishajiunga na mastercard unalipia directky hata 1Xbet
Unafakili hatujui kuhusu hiyo master card ya mitandao ya simu, hiyo virtual mastercard inakuruhusu kudeposit only ila huwezi kuwithdraw
 
Back
Top Bottom