Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
FC54F11
Betpawa
Betpawa
Vp 1XBet kuna mikeka ya uhakika sana au team ndio hizhzi za betpawa?,nkNi watu kutojua kutumia simu..mutandao yote washajiunga na master card...ukishajiunga na mastercard unalipia directky hata 1Xbet
0FDDAF3Rebet tuendelee na safari mkuu.
Tusaidie code
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
game ya simba ipe gg
Kuna watu wamewka 2x afu wamestake laki...Ligi ya bongo kweli imekuwa leo Odds 2+ za,waydad naziogopa
Safi sn mkuu, nimepita nalo...ngoja tuone kama tutafika.0FDDAF3
Over 1.5 inatoaHiyo game ya Simba itachana mkeka Boss, direct win kwa Wydad ni hatari sana. Magoli ni option nzuri zaidi.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
tengeneza virtual card ..voda,tigo airtel wanazo unalipia chochote mtandaoni(online).achana namawakala..ingia kwenye mobile menu zipoTafuta mtu akufunze Matumizi ya MasterCard, just imagine umekula mkeka wa milion na unatakiwa wakala akutolee
Do u think utapata hela yako, bora umejua kuwa mawakala ni utapeli.. Ungelia mbeleni
Virtual card inakuruhusu kudeposit only na sio kuwithdrawtengeneza virtual card ..voda,tigo airtel wanazo unalipia chochote mtandaoni(online).achana namawakala
Punguza idadi.ya mechi lakiniSafi sn mkuu, nimepita nalo...ngoja tuone kama tutafika.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hapa pana milion 880 ila issue ni uchambuzi na utambuzi wa kujua mechi za kutupatia hiyo helaC1200CC (betPawa) Pangua Pangua unaweza kuokoteza