Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo game ya Simba itachana mkeka Boss, direct win kwa Wydad ni hatari sana. Magoli ni option nzuri zaidi.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
45E9F0AF-539B-4AD6-BC75-95C48841A2EA.jpeg
 
pia ,kuna mikeka kama 30 hivi nilikua najaribu kama nutaotea draw , naona mbili zimetick hzo zingine zimeahirishwa , hivi watanilipa hiyo hela yote ?
Screenshot_20230422-170932_SportyBet.jpg

Screenshot_20230422-170947_SportyBet.jpg
 
Back
Top Bottom