Hata hiyo over siku ingine inakataa sio poa mzee bbaMimi niliweka over 2.5 sasahivi habari za kuipa timu mazima sitaki
Na jamaa alikua yupo kwenye makombe yote matatu baada ya tuchel kuchukua timu wameshatolewa kwenye makombe mawili na hili la ligi wanaenda kwa kusuasua wanaweza kulikosa piahHawa bayern wali waza nin kumtoa yule jamaa while alikua poa tu
Sijui nilijichanganya vp kumpa kumpa Bayern. Halafu mkeka wote nilikua nimebeti magoli aisee... [emoji52]Na jamaa alikua yupo kwenye makombe yote matatu baada ya tuchel kuchukua timu wameshatolewa kwenye makombe mawili na hili la ligi wanaenda kwa kusuasua wanaweza kulikosa piah
Hako ni kajini ka kanjiSijui nilijichanganya vp kumpa kumpa Bayern. Halafu mkeka wote nilikua nimebeti magoli aisee... [emoji52]
Mzee hii biashara ya betting daaaaah. Yaani huwa naona kama mm kila nikiwekeza naliwa . Nimepona mara moja tu. Saiv naona nilichoshinda chote kimerudishwa na muhindi. Shughuli hii ngumu. Kama mtu hajaingia bora asiingie tu. Daaah. Betting haramuMimi niliweka over 2.5 sasahivi habari za kuipa timu mazima sitaki
Yani basi tuCeltics si waongezane goli
Mpe al alhy 1xKazi ipo kwa Al Alhy....nipeni idea nimpe nani aseee
Sisi wapenzi wa kuwekea hela magoli, a.k.a over 1.5 hilo halituhusu😆😆😆Bayern anawasalimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AhhahaaaaNa jamaa alikua yupo kwenye makombe yote matatu baada ya tuchel kuchukua timu wameshatolewa kwenye makombe mawili na hili la ligi wanaenda kwa kusuasua wanaweza kulikosa piah
Uoga wa bure kumbe mkuu; Azam katoboa 😀 😀 😀Umeniogopesha ngoja hii pesa jioni nikanywe biaView attachment 2595892