rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Kuna treni linasonga poa sanaa aiseee...!!soon nitadondoka code za usiku
Kuna treni linasonga poa sanaa aiseee...!!soon nitadondoka code za usiku
Pale hamna kocha wakuu,Bayern lazima watamfukuza TT
Pole sn mkuu[emoji26]Nimekaa na kufikiri nimeamua kuitoa sadaka 116,000 naipa mechi ya simba itoe goli 2
Wewe ndiyo Mimi mkuu nimeangalia historia sanaHii mbwa hata mimi nilitaka kuitoa kwenye mkeka wangu, nikaponzwa na historia aisee. Yaani nilikaribia kabisa kuweka over 2.5 lakini nikasita. Hii sio timu kabisa.
View attachment 2596513
Alafu wafungaje wake ni mabeki nakumbuka akiwa Chelsea reece James ndo alikua anaongoza kwa ufungajiHuyu Tuchel tangu amefika bayern
timu inaboronga Sana, ukiangalia inavocheza Ni kichefuchefu Sana.
Mfumo wa Tuchel timu haishambulii,
Inasubiria mpinzani avutike ili wafunge goli la kushtukiza afu wapaki Basi mpk dkk 90 ziishe.
Bayern Hii Tuchel haiwez kuleta over 2.5,
Labda hizo goli 3 afungwe yeye.
Huu mfumo ndo ulimfukuzisha psg, akaja nao Chelsea, kwenye ligi akaboronga Ila papatu papatu akatoboa nao uefa akabeba kombe.
Alivurudia timu zikamsoma,
Wakaanza kujipigia mpk akafukuzwa Chelsea akiwa Katoka kushinda uefa.
Wengi walishangaa,
Ila anaeangalia mpira hawez kushangaa.
Mfumo wa Tuchel na morinho unafanana,
Timu zinazocheza jihad zinawatesa sana[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Dortmund wakiwa makini huu msimu wao maana bayern kuchukua ubingwa mala 10 mfululizoTrust me,
Na hii ligi nayo watapoteza,
Bayern ya Tuchel ni kimeo sn
Haina tofauti na Chelsea ya lampard[emoji1]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Serious,Dortmund wakiwa makini huu msimu wao maana bayern kuchukua ubingwa mala 10 mfululizo
Bayern nilimpa x2 &2+ nilivoona anaongoza Moja nikajua kanji ameanza kulowa, nimekuja kuangalia ndo nikajua mabwege Yale ni yakuua.Pale hamna kocha wakuu,
Watimue haraka Sana ile mbuzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nilimuomba golisalio lilibaki nimempa lazio mazima, anakata mauno tu huko
Wachambuzi ,hakikisha mkeka wako una over 1.5 au over 0.5 ,hapo kanji atakuja apasuke siku Moja asiyoifahamu. Ndio options za kucheza hizo...at least unaweza kusema kanji kidogo tu apasuke.Kuelekea mwisho wa msimj wa ligi ndio kipindi kizuri kwa wanakamaria. Magoli yanakuwa mengi, yaani 2.5 over, home/away team 0.5 Over ni nyingi sana.
Hamna timu pale,pole sn mkuu[emoji26]Bayern nilimpa x2 &2+ nilivoona anaongoza Moja nikajua kanji ameanza kulowa, nimekuja kuangalia ndo nikajua mabwege Yale ni yakuua.