Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Gambling inahitaji uweke pesa ndefu. Kuna mshikaji yeye ni timu moja tu. Anaweka 1m. Hachezi zaidi ya timu moja. Na ni direct win. Mostly Madrid na city.
Ndugu yangu. Wote walio humu wanaelewa. Hizi long shots wenzako huwa tunafanya tu tupate hela ya chap.
Treni hizo zinakua nyingi si chini ya 30k tunaplace kwenye treni. Mikeka mifupu tunaicheza. So usione lost ukajua watu wanacheza hizo tu. Watu wanafunga hela humu.
 
naandaa 50k nimtafute mhindi wa betpawa, nina amini sitamkosa kwa mikeka 50 (1k kila treni),

matren nitakua nasuka mwenyewe, kila week matreni 10........., mwishoni mwa may nitaleta mrejesho hapa,
Kila lakher mkuu
 
IMG_6199.png

Tusikilizie au tuchukue
 
naandaa 50k nimtafute mhindi wa betpawa, nina amini sitamkosa kwa mikeka 50 (1k kila treni),

matren nitakua nasuka mwenyewe, kila week matreni 10........., mwishoni mwa may nitaleta mrejesho hapa,

Uwe una tuma humu code
 
Back
Top Bottom