Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wabetiji kueni makini na Hii Bayern ya TUCHEL,inacheza ovyo Sana, haifai kuipa win KABISA, Tukibet kwa mazoea vilio havitaisha
Nilisema Na yametimia
Leo Hii mbuzi ya BAYERN imepigwa tena 3:1 , Wakamaria wenzangu tuiepuke kwa Nguvu zote[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ahhahaaaa

Nawaonea huruma

Labda Tuchel kaja na mkosi
Sio mkosi,
Mfumo wa tuchel Ni wa hovyo Sana,
Ni mfumo ule ule wa kizamani,kutengeneza build up kuanzia nyuma Bila kutumia nafas za counter attack.

Yaan timu inasubiri ifungwe ndo ishambulie, ule mfumo wa kizwazwa[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilisema Na yametimia
Leo Hii mbuzi ya BAYERN imepigwa tena 3:1 , Wakamaria wenzangu tuiepuke kwa Nguvu zote[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii mbwa hata mimi nilitaka kuitoa kwenye mkeka wangu, nikaponzwa na historia aisee. Yaani nilikaribia kabisa kuweka over 2.5 lakini nikasita. Hii sio timu kabisa.
1682181115389.png
 
Hii mbwa hata mimi nilitaka kuitoa kwenye mkeka wangu, nikaponzwa na historia aisee. Yaani nilikaribia kabisa kuweka over 2.5 lakini nikasita. Hii sio timu kabisa.
View attachment 2596513
Huyu Tuchel tangu amefika bayern
timu inaboronga Sana, ukiangalia inavocheza Ni kichefuchefu Sana.

Mfumo wa Tuchel timu haishambulii,
Inasubiria mpinzani avutike ili wafunge goli la kushtukiza afu wapaki Basi mpk dkk 90 ziishe.

Bayern Hii Tuchel haiwez kuleta over 2.5,
Labda hizo goli 3 afungwe yeye.

Huu mfumo ndo ulimfukuzisha psg, akaja nao Chelsea, kwenye ligi akaboronga Ila papatu papatu akatoboa nao uefa akabeba kombe.

Alivurudia timu zikamsoma,
Wakaanza kujipigia mpk akafukuzwa Chelsea akiwa Katoka kushinda uefa.

Wengi walishangaa,
Ila anaeangalia mpira hawez kushangaa.

Mfumo wa Tuchel na morinho unafanana,
Timu zinazocheza jihad zinawatesa sana[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na jamaa alikua yupo kwenye makombe yote matatu baada ya tuchel kuchukua timu wameshatolewa kwenye makombe mawili na hili la ligi wanaenda kwa kusuasua wanaweza kulikosa piah
Trust me,
Na hii ligi nayo watapoteza,
Bayern ya Tuchel ni kimeo sn
Haina tofauti na Chelsea ya lampard[emoji1]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom