Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Gambling inahitaji uweke pesa ndefu. Kuna mshikaji yeye ni timu moja tu. Anaweka 1m. Hachezi zaidi ya timu moja. Na ni direct win. Mostly Madrid na city.

Mkuu ilo sio suruhisho tumeshuhudia Madrid anapigwa apo nyuma mara kwa mara ad anasuruhu aisee direct win haina guarantee mkuu arsenal anakufa jana leo Bayern, ukiona wakubwa kama hao wanakufa ujue kuna watu wanao wekaga mzigo wanalia
 
 Leo sija beti Niko bar napitia nyuzi humu sijaona win kabisa, ni nini shida wakamaria wenzangu?

Kuna jamaa uko juu kadai kuwa watu wanaoweka stakes kubwa ndo wanamkaanga kanji nimeshangaa sana, Mimi apa ni mfano, zamani nilikuwa naweka kuanzia 200k mpaka 500k ila saivi naweka 5k to 10k mwisho,, don't ask why.!!

ata ukiweka wachezaji wasipenge uwanjani mkeka unachanika.
 
Leo sijabeti Niko bar napitia nyuzi humu sijaona win kabisa, ni nini shida wakamaria wenzangu?

Kuna jamaa uko juu kadai kuwa watu wanaoweka stakes kubwa ndo wanamkaanga kanji nimeshangaa sana, Mimi APA ni mfano zamani nilikuwa naweka kuanzia 200k mpaka 500k ila saivi naweka 5k to 10k mwisho,, don't ask why.!!
Bora tupige kinywaji tu mdau, kanji hana adabu.
 
3ECBFC8

BBF7D89

C3A32C2

2675956

30271AA

9ED581A

93EDE6C

413ECBA

AA13F4

0C3A0E8

783B5EE

54D2C5A

9593FDA


NB:UKIAMUA KUZIFUATA USIRUKE CODE HATA MOJA .. MATCH ZA LEO USIKU , STAKE KULINGANA NA MTAJI WAKO .

SPORTYBET , DRAW OR OVER 2.5
 
Leo sijabeti Niko bar napitia nyuzi humu sijaona win kabisa, ni nini shida wakamaria wenzangu?

Kuna jamaa uko juu kadai kuwa watu wanaoweka stakes kubwa ndo wanamkaanga kanji nimeshangaa sana, Mimi APA ni mfano zamani nilikuwa naweka kuanzia 200k mpaka 500k ila saivi naweka 5k to 10k mwisho,, don't ask why.!!
Ndugu samahani lakini, kama utaweza kubadili rangi ya font yako itakaa poa sana maana natumia dark theme inanipa shida na hiwa napenda sana mivhango yako.
 
Ndugu samahani lakini, kama utaweza kubadili rangi ya font yako itakaa poa sana maana natumia dark theme inanipa shida na hiwa napenda sana mivhango yako.
nimeshindwa kuedit iyo font color mkuu sijajua tatizo nini, jaribu kubadili style kutoka kwenye dark mode
 
Back
Top Bottom