Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama kawaida mwendo uleule kulala mbele na kila codes..!
Kuna mwamba aliweka matreni mawili moja lilikuwa na game 33 limefika kigoma jana salama ashukuriwe alafu kuna lingeni lina game 55 hilo bado lipo safarini..
Kanji apigwee...
EeeenhπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί. Ng’ombe Wa maskini hazai. Jna tena nimemiss odd zte.wanasema na leo siku😰😰
 
Wazee kuna wakala wa 1Xbet Anaitwa Japhet Duka Address yake ni P.o box 35059 Ubungo kanifanyia uhuni nimelipa 19,600/= kwa lipa namba yake ya tigo 7076185 Yenye jina la JADI lakini toka nikamilishe muamala hataki kupokea simu wala kujibu SMS licha ya kuwasiliana nae na kukubaliana nae kabla ya kumlipa..Nipeni ushauri nifanyeje
 
Umefanya malipo lini?
 
Tafuta pesa nyingine
Tuma kwa mwingine
 
USHAURI::
Tutafute mikeka yenye codes 5-15 tu za ukweli na uhakika at least kanjibai anaweza kuvuta pumzi ya Moto lakini haya matreni tutabadilisha routes tu Mara kigoma,Mara reli ya Kati Mara tanga ko kanji ataleta dhoruba tu na hatutafika[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…