Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu wazee baada ya mbambamba kutulaza na viatu jana, leo nayo ni siku:
 
Huu hapa 👆👆👆👆👆 odds 21 mkuu
 
Hapa lazima kuna tatizo kwenye kikosi cha Azam au huenda watacheza kikosi B au under 23. Hizi odds nina mashaka nazo:
 
Psg ni bwege kweli kani kosesha pesa nzuri dah naamka na furaha kumbe boya kafanya yake
 
Huyo jamaa ni mjinga sana, anaweza kuja kukujibu jumapili
 
Hivi mnaohangaika na hao mawakala huko xbet huwa Kuna fixed matches au nanyi mnapigwa tu kama huku betpawa na sporty bet?

Yanini kuhangaika kupitisha hela kwa mtu mwingine wakati Kuna kudeposit moja kwa moja.
Mpigwe tu
 
Kaka na mm nilifata zile code zote ila mm niliweka buku buku, ila sio mbaya mtaji umesharudi, mie naona ni market nzuri, safari ijayo uweke timu tano nadhani tutakula mikeka mingi zaidi, km iliochanika ni timu moja ndio inachana,
ndio kaka , saizi naandaa code za timu tano tano , nazituma soon
 
Haya wazee ramli lishatoa majibu
Wydad DC
Mamelodi DC
Crystal DC
Fulham DC
Wolves DC
Aston villa DC

Utachagua mwenyewe uende na zipi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…