Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa Mungu ana shidaaaa ...wengine wanaomba Ireland aongeze ,wengine Sweden arudishe, wengine arudishe ashinde, wengine wamezuia goli ,wengine wanataka 2+ hawajali...... Afu wote tunamuomba Mungu huyuhuyu!!??? Anakazi sana ...
Acha kabisa, nimeshika na bible kabisa hapa matokeo yabaki kama yalivyo au Sweden afungwe jingine la mwisho na asipate goli, pressure.
 
Hii mechi ya sweden nilijua tu itakuleta mapichapicha. Nikaamua nijilipue Ireland first to be booked
 
Avatar ya tpaul ni ya muhimu sana kwangu maana kila niionapo navunjika mbavu balaa mpaka nasahau machungu ya kuliwa na mhindi.
 
Sasa Mungu ana shidaaaa ...wengine wanaomba Ireland aongeze ,wengine Sweden arudishe, wengine arudishe ashinde, wengine wamezuia goli ,wengine wanataka 2+ hawajali...... Afu wote tunamuomba Mungu huyuhuyu!!??? Anakazi sana ...


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kbs, itabidi aangalie choice ya majority [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…