Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Eeehe Leo kanjibay kanitwanga kotekote dah zote chali mapemaaa[emoji57] [emoji57]
 
Poa poa tupo pamoja kwa zimbabwe asituangushe tu
Yaani dah, uyo mwenzie ni uhakika ila yeye ndio nina wasiwasi nae kidogo. Ila ki record Zimbabwe hajawahi kufungwa na hao jamaa,ila amewahi toa sare nao mara moja
 
Kwa premer ntatumiaje hio huduma mkuu?
upload_2016-6-13_21-11-20.png


Ipo inaitwa "Half with Most Goals"
 
Polen mi haya matimu makubwa nmekoma kuyapa ushind labda awe ni ujeruman tu.
 
Yan ukituliza mapepe kwenye kubet lazma muhind akae daily. Al ahly na Al masry niliiona hii pesa tangu jana.
 
Yan ukituliza mapepe kwenye kubet lazma muhind akae daily. Al ahly na Al masry niliiona hii pesa tangu jana.
Betting bana, sometimes hata kutuliza akili haisaidiii pia. Sikutegemea kabisa Barca kupigwa ile game na vile vitoto La liga nikakosa 1.2m
 
Back
Top Bottom