Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Meridian wanazingua sana
Hii kampuni ishakuwa ya kimagumashi tangu asubuhi hakuna ku-sign in.
Meridian wanazingua sana
Poa,vp kwa Single match/Option yenye odds 2 au zaidi?weka portugal win
chile win
Hii option ina odds nzuri![]()
Ukiona matokeo n magoli n magumu kutabiri unaweza hamia kwny matukio
Kwa nini asiweze? mbona ndo anayeongoza kwa kumpiga mwenzie pindi wakutanapo?!!...X2 kwa Hungary.Naludia tena Hungry kumfunga Austria itakua ni muujiza mkubwa akijitaid sana apigwe ma2
Zipo option nyingi tu za shoot on targert off target home/away, total shoots on target/off target na total shootsHii option nimeipenda. Bora kila shuti we unahesabu pesa haijalishi kipa kacheza au lah!
Huyu home united leo nahisi ndiyo mchawi
Kitu kishatiki, hongera sana aisee..Mi nimewapa 3+, nasubiri goli moja ... naona Tampines/Young Lions wameshafikisha.
Mi nimewapa 3+, nasubiri goli moja ... naona Tampines/Young Lions wameshafikisha.
Kitu kishatiki, hongera sana aisee..